Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,198
Nimesikia radio katika kipindi cha magazeti asubuhi.Mkuu wa mkoa wa Arusha anasema ghala la serikali halina chakula cha kutosha kwa vile kuna mianya ya kupeleka chakula nje. Pengine atuweke sawa kapata wapi hili himisho .
Kama sikosei ghala la chakula la serikali huwa serikali inajaza chakula kwa kununua kwa wananchi na si kuzuia tuu mipaka.Km h
Kama sikosei ni kwamba ghala la serikali lina ulinzi wa kutosha.Na hakuna chakula kilichofisadiwa.Kwa hiyo kwa vyovyote wafanya biashara hawapeleki chakula cha serikali nje kwa hiyo hiyo mianya haiusiani na kutokuwa na chakula cha kutosha ktk ghala.
Kwa vyoyote mheshimiwa anahitaji kuta na maelezo mazuri ikizingatiwa kwamba maelezo attaa yoyote atakaotoa si mazuri sana kwake, ikizingatiwa yupo katika mkoa wenye chagamoto nyingi,changamoto zinahohitaji mtu mwenye uwezo,umakini na anayejua majukumu yaiyopo.Hii itasaidia kuwapa watanzania imani kwamba changamoto mkoani kwake ni ngumu na sio kukosa uwezo.
Kwa uwezo huu sina mashaka kwanini siasa za kule Arusha zimekuwa mbaya sana.Najiuliza tuliambiwa hawa watu cv zao mkuu alipitia mwenyewe.ILA HII NI HABARI YA PILI TOK AILE YA WACHUMI WETU KWAMBA SERIKALI IKIWA BAILED OUT NA SIO BANK KUWA BAILED OUT NDIO WANAMCHI WATAPA HELA MITAANI.