Kumbe deadline ni tarehe 15,nimewasiliana nao wanasema bado kuna vijana hawajaingizwa kwenye database ya TCU kutoka necta kwahyo ukiwapigia Simu wanashughulika kuhakiki km namba ipo then process inaendelea
Ushauri wangu ni kwamba km kuna tatizo wasiliana nao ingawa hadi ukawapate unaweza kata tamaa,ila once wakipokea wanashughulikia vzr sana,nawatakia application njema,Tuombe Mungu wapate na Mikopo ya kueleweka.