jamani salama,nilikuwa naomba msaada wenu,kuna mtu nina namba yake ya simu na huyo mtu amejiunga kwenye facebook,sasa nilikuwa nataka nimpate kupitia facebook..je nitumie njia gan
Nenda kwny Facebook search mserch utampata tu ndugu mambo kuulizana au vp'!!!si wote walienda IT. Hzi hz simu watu wanasoma angalau kujua kufungua fb tweeter jf whatsup nk
jamani salama,nilikuwa naomba msaada wenu,kuna mtu nina namba yake ya simu na huyo mtu amejiunga kwenye facebook,sasa nilikuwa nataka nimpate kupitia facebook..je nitumie njia gan
Huyo mtu lazima atakua demu. Unataka umuone sura yake
That aside, nenda Tigo pesa fanya kama unamtumia pesa, kabla huja maliza kuweka password, jina lake litakuja. Kwa mitandao mengine, jilipue kwa kutumia simu ya rafiki yako, mtumie kama shs 250, then utaona jina lake. Halafu ingia zako facebooooook taratîiiiiiiila
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.