Utapata bila shaka...why usiende advance dogo?Form four nilipata
Bios- A
Phy - C
Chem - B
Tafadhali nilikuwa naomba uthibitisho kama nitapata chuo cha Lugalo cha clinical medicine... Au niapply chuo kingine.
Pass zako ni nzuri, ila siyo guarantee kuwa utapata, kuna ushindani mkubwa sana Lugalo! Kwanni ussome medical laboratory sciences? Ina future nzuri, why all rush to CM/CO courses?Form four nilipata
Bios- A
Phy - C
Chem - B
Tafadhali nilikuwa naomba uthibitisho kama nitapata chuo cha Lugalo cha clinical medicine... Au niapply chuo kingine.
Umemshauri kitu kizuri maana kila mtu anakimbilia CO wanaisahau maabara kisa haina jina kubwa midomoni mwa watu ila laiti wangelikuwa wanaielewa basi wangebadilisha mazingira.Pass zako ni nzuri, ila siyo guarantee kuwa utapata, kuna ushindani mkubwa sana Lugalo! Kwanni ussome medical laboratory sciences? Ina future nzuri, why all rush to CM/CO courses?
Exactly, mimi najuta kumpeleka mwanangu CM/CO training. Nafikiria kumtoa aanze medical lab sciences! It has a good future including self employment or part time jobs...Umemshauri kitu kizuri maana kila mtu anakimbilia CO wanaisahau maabara kisa haina jina kubwa midomoni mwa watu ila laiti wangelikuwa wanaielewa basi wangebadilisha mazingira.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yah ni fani ambayo hata Degree, Master na PHD zake mtaan bado ni ndogo sanna ukilinganisha na MD.Exactly, mimi najuta kumpeleka mwanangu CM/CO training. Nafikiria kumtoa aanze medical lab sciences! It has a good future including self employment or part time jobs...
Utapata.Form four nilipata
Bios- A
Phy - C
Chem - B
Tafadhali nilikuwa naomba uthibitisho kama nitapata chuo cha Lugalo cha clinical medicine... Au niapply chuo kingine.
Dogo Chukua Huu Ushauri Hutojutia!Pass zako ni nzuri, ila siyo guarantee kuwa utapata, kuna ushindani mkubwa sana Lugalo! Kwanni ussome medical laboratory sciences? Ina future nzuri, why all rush to CM/CO courses?
Bugando hakuna clinical medicine. Kwa Bugando kuna diploma in Nursing ambayo ni program ya serikali. Diploma za maabara, pharmacy na radiology zinatolewa na CUHASUtapata.
Ila kwenye Kuomba, hatuishii kuomba Chuo kimoja tu. Lazima uombe Vyuo vingi ili Majibu yakitoka, uwe na uwanja mpana wa kuchagua unapotaka kwenda.
Kuna Bugando, Muhimbili, KCMC, Kuna Vyuo vya Serikali. Vyote hivi vinatoa Kozi za Afya.
NB;
Kozi za Afya nazo ziko nyingi, unaweza kuzipitia na kuona unayoipenda.
Kuna DIPLOMA YA MEDICINE
RADIOLOGY
MEDICAL LABORATORY
PHARMACY
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubali ndugu yangu.Bugando hakuna clinical medicine. Kwa Bugando kuna diploma in Nursing ambayo ni program ya serikali. Diploma za maabara, pharmacy na radiology zinatolewa na CUHAS
Sio kweli.Mimi nakuomba utafute shamba ukalime usipoteze muda hizo nafasi niza watoto wamakada shauri zako
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi kuhusu future ya diploma ya Biomedical equipment engineering ya pale DIT?Pass zako ni nzuri, ila siyo guarantee kuwa utapata, kuna ushindani mkubwa sana Lugalo! Kwanni ussome medical laboratory sciences? Ina future nzuri, why all rush to CM/CO courses?
Mpaka hili unaingiza siasa?. Duh! Kweli tuna safari ndefu.Mimi nakuomba utafute shamba ukalime usipoteze muda hizo nafasi niza watoto wamakada shauri zako
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio Course mbaya hii ni nzuri uhitaji bado upo.Vipi kuhusu future ya diploma ya Biomedical equipment engineering ya pale DIT?
Lakini akubali kusota na vyeti vyake hizi mambo nizakujuana mkuuSio kweli.
Mwache kijana aombe, akasome.
Ni nzuri kwa Future yake.
Kama kulima, atakuja kulima mpaka achoke.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli sikupenda nili seme hapa ila hali ilivyo imebadirika sana wewe hujiulizi mtoto gani wa kiongozi mkubwa yupo kwenye mfumo wa elimu bure.
Asome bhana.Lakini akubali kusota na vyeti vyake hizi mambo nizakujuana mkuu
Nzuri sana tena sana, ila training unaipata wapi? hapa hakuna training ya maana ni kudanganyana! nakumbuka kuna mtu wa fani hiyo alikuwa anatoka basel switzerland kutengeneza complicated machines za utafitihplc . blood analyser etc; alikuwa analipwa fedha sikuwa naamini kama mtu anaweza kulipwa hivyo! Ukipata training chuo kizuri, nenda!Vipi kuhusu future ya diploma ya Biomedical equipment engineering ya pale DIT?