Kuhusu confirmation code kutoka TCU

Kuhusu confirmation code kutoka TCU

Wadau naomba msaada wenu cz nimem2ma m2 tcu lkn mpk dk hii cjaona code tangu j3 hadi leo alhamic alaf jina langu halipo kweny multiple but nimechaguliwa vyuo viwili
Umechaguliwa vyuo vipi
 
Kesi yako kama yangu nasubiri watoe raundi ya 3 labda nitaona tofauti
Hawa wadau watatuua na presha asee but kuna jamaa nliongea naye tena alienda tcu akasema next week ndo wanatoa
 
Hawa wadau watatuua na presha asee but kuna jamaa nliongea naye tena alienda tcu akasema next week ndo wanatoa
Nilipiga chuoni wameniambia wiki hii tcu hawajatoa codes wataanza kutoa codes kuanzia j3
 
Back
Top Bottom