Dr.philosophy
Senior Member
- Oct 12, 2012
- 122
- 27
habar wakuu,Mimi nilichaguliwa selection ya pili nkwawa kama direct yaan nilpata chuo hcho tu na nilipoangalia kwa wale waliotoka kwenye multiple sikuwepo na profile zoote za vyuo nlivyoomba zilionesha kuw ckuchaguliwa isipokuw udsm campus ya MUCE .lakin cha kushangaza Leo nimeingia kwenye akaunt yangu ya udsm eti inaonesha kuwa nmechaguliwa chuo zaid ya kimoja na sasa inatakiwa codes ili niweze Ku komfirm.sasa najiulza Kuwa nawezaje kukomfirm wakat nmechaguliw chuo kmoja na system inataka nicomfirm?msaada wakuu mana Milo Mkoan huku sielew nifanyeje