Kuhusu chuo cha Kilimo UKIRIGURU mwanza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuhusu chuo cha Kilimo UKIRIGURU mwanza

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Zuia Sayayi, Aug 30, 2012.

 1. Zuia Sayayi

  Zuia Sayayi JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 834
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Jamani chuo cha UKIRIGURU mwanza naskia wametoa majina ya wanafunzi wanaotakiwa kujiunga na chuo hicho,
  but wao huwa hawaweki matokeo hayo kwenye internet sasa naomba mwenye kujua ntapataje hayo majina anielekeze maana niko mbali kidogo
  thanks
   
Loading...