Shabby kng
Member
- Jul 4, 2013
- 41
- 6
Ndugu wana jf kutokana na mfumko wa vyuo vingi siku hizi ambavyo havikusajiliwa napenda kutoa hoja hii kwa yeyote mwenye ufahamu wa ndani juu ya chuo hicho kama kimesajiliwa au la maana kunadogo ananisumbua kila siku kuhusu usajili wake