KUHUSU BSC in MULTIMEDIA TECHNOLOGY AND ANIMATION( UDOM)

zetabyte

Member
Joined
Sep 3, 2018
Posts
6
Reaction score
0
Habari zenu wakuu, poleni na mihangaiko ya hapa na pale natumaini mko salama na kwa wenye matatizo muumba awatengenezee yao inshallah. Thread hii ni kwa wale wenye ufahamu juu ya hii course au kwa yeyote alie chaguliwa katika course tajwa hapo juu,mimi binafsi nimechaguliwa hapo na tayari nimesha confirm japo sina ufahamu nayo ila imenibidi kufanya hivo kutokana na choices zilizo kuepo Nawasilisha kwenu wana jf kwa ushauri na michango yenu kifikra kwani naamini nipo mahala sahihi ......ahsante sana.
 
Ni

nimechaguliwa but sijatumiwa code
 
niko mwaka wa pili hiyo course,,, karibu san ni coz nzuri sana na ina uwanj mpana mpan wa ajir na kujiajili...
Hujapotea mdgo wang
 
dogo unazngua ...hii course full njaa lakin ukihaso unachomoa kwa taabu sana ukijiajiri au kuajiriwa
 
Back
Top Bottom