I Itsi Member Joined May 29, 2013 Posts 23 Reaction score 5 Aug 18, 2015 #1 Mnamo 31 Oktoba 2014 BOT ilitangaza post za Administrative Officer III, Assistant Record Management Officers na nyiginezo. Naomba mnijuze wadau kama tayari watu wameshaajiriwa katika hizo post au la? Nawasilisha.
Mnamo 31 Oktoba 2014 BOT ilitangaza post za Administrative Officer III, Assistant Record Management Officers na nyiginezo. Naomba mnijuze wadau kama tayari watu wameshaajiriwa katika hizo post au la? Nawasilisha.
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,082 Reaction score 2,358 Aug 18, 2015 #2 Watu wako job siku nyingi sana mzazi.
S shinyanga town Senior Member Joined May 25, 2015 Posts 125 Reaction score 99 Aug 18, 2015 #3 Watu wapo mzigon kitambo,administrative officer iii walipita madem 2
saimon111 JF-Expert Member Joined Apr 5, 2012 Posts 1,736 Reaction score 1,359 Aug 19, 2015 #4 Duh ukute mpaka probation ilishaisha
D dumejike JF-Expert Member Joined Apr 29, 2014 Posts 325 Reaction score 68 Aug 19, 2015 #5 shinyanga town said: Watu wapo mzigon kitambo,administrative officer iii walipita madem 2 Click to expand... Mbona hio post ilikua moja au ndio ziliongezeka
shinyanga town said: Watu wapo mzigon kitambo,administrative officer iii walipita madem 2 Click to expand... Mbona hio post ilikua moja au ndio ziliongezeka