Hamna mkuu ni kutokana na soko , uhai mill 1600 mwanza inauzwa 1000 , Ila DSM inauzwa 500 pale kariakoo maeneo mengine 600 au 700 Kwa DSM .....DSM kuna soko kubwa Sana la maji , kuliko mikoani so ushindani upo na hvyo hata Kwa bei ya chini bado faida inaonekana ,...mikoani soko la maji ya chupa lipo chini Sana , mtu anaenda hotelin Kula anakuta na maji ya kunywa mama ntilie kamwekea , akipinda pembeni Tu anaomba maji Kwa jirani anapewa ya mtungini alaf umwambie anunue ....mikoani pia pesa ni ngumu some how .....DSM hata familia zinatumia maji ya chupa .......
Sjajua imekaaje Ila kama Una mtaji mzito unaomba kuwa agent wa maji ya hill au Uhai utapiga pesa mikoani mana bei ya maji ya chupa ipo juu