Imekuwa ni kawaida kwa jamii siku hizi hasa vijana walio wengi ambao hawana ajira kuomba kazi hata kama hazijatangazwa. mimi ni mhitimu wa chuo kikuu nikiwa kama husika wa hili (mimi) na rafiki zangu tumekuwa tunazunguka ofisi zaidi ya 50 ndani ya miezi miwili hapa mjini kupeleka barua za maombi pasi kazi kutangazwa.....swali je? hizo barua huwa wanazifanyia kazi ua wanaturidhisha tu na kutupa matumaini tusikate tamaa kakutafuta kazi? kwa sababu sehemu zote tulizopeleka hazijakataliwa, zilipokelewa kwa ukarimu sana, na hakuna kati yetu aliyeitwa kwenye enterview hata mara moja.
shukran sana mkuu nimefarijika sana ,naamini nitafanikiwa kitika safari yangu.nisawa unavyofikiri lakini ukweli ni huu, hizo barua huwa wanakaa nazo panapotokea nafasi wanazipitia wanaangalia zile sifa wanazotaka basi wanakuita mimi nilikaa miezi 7 siku ni mekata tamaa nikaitwa, nimeanza kazi nikaitwa pengine kwa sababu nilituma sehemu nyingi
usihofu ndugu ipo siku utaitwa!Imekuwa ni kawaida kwa jamii siku hizi hasa vijana walio wengi ambao hawana ajira kuomba kazi hata kama hazijatangazwa. mimi ni mhitimu wa chuo kikuu nikiwa kama husika wa hili (mimi) na rafiki zangu tumekuwa tunazunguka ofisi zaidi ya 50 ndani ya miezi miwili hapa mjini kupeleka barua za maombi pasi kazi kutangazwa.....swali je? hizo barua huwa wanazifanyia kazi ua wanaturidhisha tu na kutupa matumaini tusikate tamaa kakutafuta kazi? kwa sababu sehemu zote tulizopeleka hazijakataliwa, zilipokelewa kwa ukarimu sana, na hakuna kati yetu aliyeitwa kwenye enterview hata mara moja.
yap kutafuta kazi ni kazi hap ndipo uthamani wa ajira(kazi) unapopatikana ila mtafutaji hachoki kutafuta hata siku moja labda apate ndipo atachoka. chamsing usife moyo endelea hata kutembelea siku moja moja www.ajira.go.tz, www.zoomtanzania.com, na mitandao mingine mingi km hiyo ila kuchoka kusoma gazet km vile th guardian, daily news na mengin mengine .
MUNGU AWE NANYI KATKA HARAKATI HIZI NA AWALINDE NA CHANGAMOTO ZA KUTAFUTA KAZI
Pia naombeni msaada wanjf, hata mimi ninamkakati wa kuanza kama mdau mwenzangu ila nashindwa hapa-heading niandike vipi, na anuani za haya makampuni na mashirika nitazipataje? nisaidieni wadau nateseka sana hali ni tete.