Tatizo watanzania tuna mawazo ya kuajiriwa tu. Mshauri kaka yako afungue DAY CARE CENTRE kama hatua ya awali ya kujiajiri. Baadaye itamwezesha kuigeuza na kuwa Nursery School (Pre-Primary Education). Kisha mdogo mdogo kila mwaka anajenga darasa moja na kufungua Pre & Primary School. Ndani ya miaka 15 ijayo atakuwa milionea wa ukweli!! Lakini ndani ya miaka 15 kwenye ajira anayoitafuta atakuwa bado analilia nyongeza ya mshahara ya sh 10,000/= kwa MWAKA!!!!