Wakuu habari ya jumapili Nina mdogo wangu kasoma kozi ya laboratory science and technology chuo cha ualimu Monduli ngazi ya diploma kahitimu mwaka Jana 2019 , sasa naomba kuuliza je anaweza kuomba ajira zilizotangazwa hapa juzi ukizingatia wao wanatambuliwa kama laboratory technicians na siyo waalimu na huku wamesoma katika vyuo vya ualimu, maalumu kwaajili ya shule za sekondari.
Hata mimi nalifikilia hili. Mzee hana mpango ea kuajiri lakini kaona maji ya shingo kaona bora atangaze kuwafariji watuHakuna kazi hapo
Hili ni Changa la Macho
Process itakuwa ndefu mpaka uchaguzi uishe halafu......
Bado mkuu. Ukiingia tamisemi huoni kituvipi wadau wameshafungua dirisha la kuaplay mwenye news please tujuzeee