Mawembasa1979
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 2,696
- 3,597
Mwezeshe aanzishe biashara hata ya duka MkuuWalioomba hizo ajira nilimuombea wife application yake ilikuwa in namba 47891 na hapo mm ckuwa wa mwisho.
So usitegemee sana kupata hizo ajira.
Mwezeshe aanzishe biashara hata ya duka MkuuWalioomba hizo ajira nilimuombea wife application yake ilikuwa in namba 47891 na hapo mm ckuwa wa mwisho.
So usitegemee sana kupata hizo ajira.
Hivi na wewe uliwaamini kabisa na kupoteza muda wako? Ccm ni ukoo wa panya. Mimi jambo lolote linalokuwa na ushirika na Jiwe basi hilo kwangu ni jambo ovu.Wakuu kwema? Kama mnakumbuka serikali ilitangaza ajira za walimu na watu wakaomba.
Cha kushangaza paka sasa kimya[emoji25][emoji25]
Au ndo zimeyeyuka?
Najua humu kuna watu wako tamisemi au wengine wana ndugu huko tamisemi hebu watudokeze hata ninini kinaendelea.