Kuhusu ajira 13000 za walimu, nini kinaendelea?

Kuhusu ajira 13000 za walimu, nini kinaendelea?

Optimistic_

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2017
Posts
2,347
Reaction score
1,860
Wakuu kwema? Kama mnakumbuka serikali ilitangaza ajira za walimu na watu wakaomba.

Cha kushangaza paka sasa kimya[emoji25][emoji25]

Au ndo zimeyeyuka?

Najua humu kuna watu wako tamisemi au wengine wana ndugu huko tamisemi hebu watudokeze hata ninini kinaendelea.
 
Walioomba hizo ajira nilimuombea wife application yake ilikuwa in namba 47891 na hapo mm ckuwa wa mwisho.

So usitegemee sana kupata hizo ajira.
Sawa mkuu lakini bora zitoke tujue nini cha kufanya
 
Subirini tunawaajiri wote tunamalizia Kupanga mikoani
 
Mkuu uchaguzi umeisha! Zile zilikuwa kampeni.
Lakini vumilia tumalize mtanange na hawa mabeberu then huenda tutajua kinachoendelea kuhusiana na ajira za ualimu.
 
Saivi tupo kwenye vita Kali na mabeberu ,ngoja tumalizane nayo kwanza. Tuko kwenye vita ya kiuchumi.
 
Kuna dogo nilimjazia alikua no. 73488

National stadium [emoji909] capacity yake ni watu elf 60.

So kimahesabu hapo kuna watu kama 13 elf wapo nje 🥱.

Sema kama zilitangazwa na mchakato wa kuomba ukapita kuweni na subra waalimu wetu.
 
Back
Top Bottom