Wandugu naomba msaada wenu, natumia simu ya blackberry, nilikuwa nikifungua baadhi ya website zinataka niwe na adobe flash player, nimetafuta katika getjar sikupata,sasa wandugu nifanyeje ili niweze kufanikiwa?
Mkuu, inaonekana bado unatumia OS ya 4.2. Jaribu ku-update OS 4.5 itakuwezesha kuona video kwenye web.. Ukweli ni kwamba hakuna adobe flash player maalum kwa blackberry.
Wandugu naomba msaada wenu, natumia simu ya blackberry, nilikuwa nikifungua baadhi ya website zinataka niwe na adobe flash player, nimetafuta katika getjar sikupata,sasa wandugu nifanyeje ili niweze kufanikiwa?
Wandugu naomba msaada wenu, natumia simu ya blackberry, nilikuwa nikifungua baadhi ya website zinataka niwe na adobe flash player, nimetafuta katika getjar sikupata,sasa wandugu nifanyeje ili niweze kufanikiwa?
Hapa kila kitu kinawezekana ndugu. Cha ufanya ni wewe kuweka hapa aina ya B`berry unatumia; Model na ni messeg gani unapata wakati unaopen hzo page? fanya hvyo na kila kitu kitafanyika ndugu..