Kuhujumiwa kwa DAWASCO

Kuhujumiwa kwa DAWASCO

the ultimatum

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2012
Posts
419
Reaction score
142
Napenda kutoa taarifa za kuhujumiwa kwa DAWASCO maeneo ya Mwananyamala Mchangani, mtaa wa Juhudi.

Mimi ni raia mwema nimeamua kutoa taarifa kwa mamlaka zinazohusika kuhusu kijana maarufu kwa jina la Mudi Chavi ambaye kwa muda mrefu sasa amekuwa akijishughurisha na uuzaji maji maeneo ya Mwananyamala Mchangani mtaa wa Juhudi.

MBINU ANAZOTUMIA KUJIPATIA MAJI.

Amekuwa akiihujumu DAWASCO kwa muda mrefu sana. Na mbinu anazotumia kujipatia maji ni kukata mipira ya maji ntakati za usiku na kuunganisha kwenye mipira yake ambayo inakwenda kujaza matank ya maji anayomiliki na baadae kuuza kwa wananchi.

HASARA ANAZOSABABISHA.

Licha ya kuwa anaharibu miundombinu ya DAWASCO lakini pia amekuwa akichangia upotevu mkubwa wa maji, kwani mara nyingi anapokuwa amekata mipira hushindwa kuifunga na kuacha maji yakitiririka muda mrefu sana all night long. Maji nyakati za usiku huwa na presha kubwa kitu ambacho kinamuwia vigumu kurejeshea mpira anaokuwa ameukata. Mpaka naandika taarifa hii leo asubuhi wakati naenda mihangaukoni nimekutana na madimbwi makubwa ya maji huku moja ya mpira ukiwa unatirirsha maji kwa kasi ya ajabu. Ninaposema madimbwi naomba nieleweke ni madimbwi kweli kweli just like public swimming pool.

MAJI YANAYOPOTEA KIMAHESABU.

Ndugu zangu ipo hivi, kwa presha ya maji nyakati za usiku makadirio ya haraka kwa mipira hii midogo ya kawaida inaweza ikatiririsha lita moja za maji kwa kila sekunde, maana yake hapa ni kwamba kila anapoacha mipira ikimwaga maji usiku hupoteza lita sitini (60) kwa kwa kila dakika moja, ni lita 3600 kwa kila saa moja, ni lita 18,000 kwa saa tano kutoka saa tisa usiku mpaka saa moja asubuhi pale wasamalia wema wanapoamua kufunga mpira wanapokuta inamwagika. Ndugu zangu ni lita 90,000 kama kitendo hicho kitatokea mara tano kwa wiki.

Unaweza ukaona ni kiasi gani cha maji kinaweza kupotezwa na huyu mtu mmoja pekee, na kama wapo watu mia moja wanaofanya vitendo hivi wanauwezo wa kupoteza lita 9,000,000 za maji kwa siku tano tu za wiki ambazo ni sawa na lita 36,000,000 za maji ndani ya siku ishirini za mwezi.

Ndugu zangu hakuna asiyejua jutihada zilizofanywa na serikali ya awamu ya tano katika upande wa maji na maeneo mengine. Pamoja na jitihada zote hizi zinazoongozwa na muheshimiwa rais Magufuli bado wanatokea watu wachache kuhujumu jitihada zote hizi. Kinachotokea hapa ni kuwa maji yanayotarajiwa yawafikie wananchi hayafiki tena, yanakuwa machache, uhaba wa maji unatokea katika vyanzo vya maji na maji kukatika katika kila wakati.

Ndugu zangu uzalendo ni pamoja na kuwa kama watch dog kuangalia mahala popote ambapo nchi inahujumiwa huu ndiyo uzalendo, uzalendo ni kuhakikisha rasilimali za nchi zinatumiwa ipasavyo na kuripoti vitendo vya hujuma kama hivi.

Muheshimiwa rais anahangaika kila siku kutuletea maendeleo badala yake wanatokea wachache kama hawa kutukwamisha.

Napenda kuomba mamlaka husika zifuatilie swala hili na wahusika wachukuliwe hatua kali ili iwe fundisho kwa wote wenye vitendo vya namna hii.

Naomba kuwasilisha,

Ni mimi mtanzania mzalendo ninaeipenda nchi yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza kuta anakula na watu wa Dawasco,, huyo ana kesi ya kutakatisha pesa na économic casé,, wiki ijayo utamuona kisutu..
 
Bila picha hainogi
Wewe kwa akili zako kilichoandikwa hapa unaweza kukigeuza kikawa picture?nenda chit chat siyo kila mada lazima uchangie kama huna point press home botton tafuta mada itakayokufaa kuchangia kwa uelewa wako.

Sent using Redmi Note 5
 
Wewe kwa akili zako kilichoandikwa hapa unaweza kukigeuza kikawa picture?nenda chit chat siyo kila mada lazima uchangie kama huna point.

Sent using Redmi Note 5

Acha kukurupuka naww.. kasema madimbwi mara mipira imekatwa! tutaamini vipi.. atoe kitu kinachoeleweka na kwapicha tuone.. tutajuaje kua nama maelewano mabaya na huyo jamaa huko mtaani!
ww kama huhitaji picha pita kule! nimesema bila picha hainogi! kama ww huelewi picha inavyoleta habari nzuri basi potezea
Tafakari kapita hiyi sehem asubuhi kaona mabomba yamekatwa na madimbi,
Mfano hiyo habari yake ingekua na picha habari yake ingekuaje?
 
jinsi ulivyochambua data za upotevu wa maji inaonyesha kabisa kuwa wewe ni mtu wa dawasco na aidha ulikuwa unachukua mshiko kwake sasa amekuzidi ujanja au anakula na mtu aliyekuzidi,hii ni mwaga mboga namie nimwage ugali!!ahsante kwa kulisaidia shirika ila ulitakiwa utoe taarifa mapema zaidi
 
Napenda kutoa taarifa za kuhujumiwa kwa DAWASCO maeneo ya Mwananyamala Mchangani, mtaa wa Juhudi.

Mimi ni raia mwema nimeamua kutoa taarifa kwa mamlaka zinazohusika kuhusu kijana maarufu kwa jina la Mudi Chavi ambaye kwa muda mrefu sasa amekuwa akijishughurisha na uuzaji maji maeneo ya Mwananyamala Mchangani mtaa wa Juhudi.

MBINU ANAZOTUMIA KUJIPATIA MAJI.

Amekuwa akiihujumu DAWASCO kwa muda mrefu sana. Na mbinu anazotumia kujipatia maji ni kukata mipira ya maji ntakati za usiku na kuunganisha kwenye mipira yake ambayo inakwenda kujaza matank ya maji anayomiliki na baadae kuuza kwa wananchi.

HASARA ANAZOSABABISHA.

Licha ya kuwa anaharibu miundombinu ya DAWASCO lakini pia amekuwa akichangia upotevu mkubwa wa maji, kwani mara nyingi anapokuwa amekata mipira hushindwa kuifunga na kuacha maji yakitiririka muda mrefu sana all night long. Maji nyakati za usiku huwa na presha kubwa kitu ambacho kinamuwia vigumu kurejeshea mpira anaokuwa ameukata. Mpaka naandika taarifa hii leo asubuhi wakati naenda mihangaukoni nimekutana na madimbwi makubwa ya maji huku moja ya mpira ukiwa unatirirsha maji kwa kasi ya ajabu. Ninaposema madimbwi naomba nieleweke ni madimbwi kweli kweli just like public swimming pool.

MAJI YANAYOPOTEA KIMAHESABU.

Ndugu zangu ipo hivi, kwa presha ya maji nyakati za usiku makadirio ya haraka kwa mipira hii midogo ya kawaida inaweza ikatiririsha lita moja za maji kwa kila sekunde, maana yake hapa ni kwamba kila anapoacha mipira ikimwaga maji usiku hupoteza lita sitini (60) kwa kwa kila dakika moja, ni lita 3600 kwa kila saa moja, ni lita 18,000 kwa saa tano kutoka saa tisa usiku mpaka saa moja asubuhi pale wasamalia wema wanapoamua kufunga mpira wanapokuta inamwagika. Ndugu zangu ni lita 90,000 kama kitendo hicho kitatokea mara tano kwa wiki.

Unaweza ukaona ni kiasi gani cha maji kinaweza kupotezwa na huyu mtu mmoja pekee, na kama wapo watu mia moja wanaofanya vitendo hivi wanauwezo wa kupoteza lita 9,000,000 za maji kwa siku tano tu za wiki ambazo ni sawa na lita 36,000,000 za maji ndani ya siku ishirini za mwezi.

Ndugu zangu hakuna asiyejua jutihada zilizofanywa na serikali ya awamu ya tano katika upande wa maji na maeneo mengine. Pamoja na jitihada zote hizi zinazoongozwa na muheshimiwa rais Magufuli bado wanatokea watu wachache kuhujumu jitihada zote hizi. Kinachotokea hapa ni kuwa maji yanayotarajiwa yawafikie wananchi hayafiki tena, yanakuwa machache, uhaba wa maji unatokea katika vyanzo vya maji na maji kukatika katika kila wakati.

Ndugu zangu uzalendo ni pamoja na kuwa kama watch dog kuangalia mahala popote ambapo nchi inahujumiwa huu ndiyo uzalendo, uzalendo ni kuhakikisha rasilimali za nchi zinatumiwa ipasavyo na kuripoti vitendo vya hujuma kama hivi.

Muheshimiwa rais anahangaika kila siku kutuletea maendeleo badala yake wanatokea wachache kama hawa kutukwamisha.

Napenda kuomba mamlaka husika zifuatilie swala hili na wahusika wachukuliwe hatua kali ili iwe fundisho kwa wote wenye vitendo vya namna hii.

Naomba kuwasilisha,

Ni mimi mtanzania mzalendo ninaeipenda nchi yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo Mudi Chawi atakuwa mwanachadema!
 
the ultimatum Mbona dawasa walikuja wiki mbili zilizopita na kung'oa hizo line za wizi kwa urefu mkubwa tu, nature za wizi huu ni usiku wa manane nadhani wana mipango zaidi, kama mwananchi niwashukuru kwa uharaka wa kuitikia tatizo hili, tulikuwepo na Mtendaji wa serikali ya mtaa wa mwananyamala ingekuwa kuna uwezo wa kuweka picha ningeweka kwani nilikuwa shahidi wa tukio hili.
 
Wanachofanya ni kukata mipira ya wateja waliounganishwa tayari na kuelekeza maji kwenye ma tank yao, halafu wakishamaliza hiyo shughuri wanarejesha kwa kuunganisha mpira. Inapotokea wameshindwa kuunganisha huacha mipira ikitiririsha maji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani kakwambia raisi anahangaika? Unahangaika wewe unaekuja kupost mitandaoni
 
Back
Top Bottom