Jamani tuongee ukweli,kuhonga hakuongezi kupendwa palipo penzi la dhati.Penzi la muda mfupi au la sku moja kuhonga kutaweza kukusaidia lakini kwa mwanamke au mwanaume anayekupenda haihitaji kuhonga. hii sio kwa awanaume tu hata wanawake wanaohonga.
Kwa uzoefu wangu huu penzi la kweli halipatikani kwa kuhonga bali kuridhiana na kupendana.
Usijidanganye wala kujipotezea muda na pesa zako kuhonga kutafuta penzi la dhati utajuta bure.
Karibuni wadau kuongezea elimu au kuniweka sawa.
What matters is the END not the MEANS. Kinaweza kusikusadie kupendwa BUT ALL HER ATTENTION WILL BE YOURS AS LONG AS WEKUNDU WAMEJAAA.
Ndo ile I LOVE MY MAN KINA CASSANOVA WSKIKUITA KFC AU BREAK POINT HUSITI KUTIA TIMU.
THERE IS MORE TO LOVING THAN LOVE ITSELF
Mapenzi ya dhati yalishakufa ezi za mitume we acha kusaka noti usubiri mapenzi ya kweli
Kumbeee huna penzi la dhati kwangu, nimeshajua nia uniharibie ndoa yangu.
Mapenzi ya dhati yapo bado, baadhi tunayo japo tunaweza tusiwe wengi ila wapo.
Back to the topic,
Kama unampenda mtu sana hutojali kama anakuhonga ama laa, mtu anazidisha kuhonga pale napoona anampenda mtu na haeleweki. wee honga wenzako wanakula bure.
What matters is the END not the MEANS. Kinaweza kusikusadie kupendwa BUT ALL HER ATTENTION WILL BE YOURS AS LONG AS WEKUNDU WAMEJAAA.
Ndo ile I LOVE MY MAN KINA CASSANOVA WSKIKUITA KFC AU BREAK POINT HUSITI KUTIA TIMU.
THERE IS MORE TO LOVING THAN LOVE ITSELF
Hapo kwenye Red, umenikumbusha Somo la MicroEconomics... Upo juuWhat matters is the END not the MEANS. Kinaweza kusikusadie kupendwa BUT ALL HER ATTENTION WILL BE YOURS AS LONG AS WEKUNDU WAMEJAAA.
Ndo ile I LOVE MY MAN KINA CASSANOVA WSKIKUITA KFC AU BREAK POINT HUSITI KUTIA TIMU.
THERE IS MORE TO LOVING THAN LOVE ITSELF
Back to the topic,
Kama unampenda mtu sana hutojali kama anakuhonga ama laa, mtu anazidisha kuhonga pale napoona anampenda mtu na haeleweki. wee honga wenzako wanakula bure.
Kumbeee huna penzi la dhati kwangu, nimeshajua nia uniharibie ndoa yangu.
Mapenzi ya dhati yapo bado, baadhi tunayo japo tunaweza tusiwe wengi ila wapo.
Back to the topic,
Kama unampenda mtu sana hutojali kama anakuhonga ama laa, mtu anazidisha kuhonga pale napoona anampenda mtu na haeleweki. wee honga wenzako wanakula bure.
Hujakosea mleta mada
Naona mkuunimejaribu kuhonga nikaona sipewi mapenzi hata ukumfikisha gest unakuwa ni kupunguza haja.mapenzi hasa hayahitaji kuhohonga.wengi wamehonga wanajuta