Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,232 Dec 6, 2011 #101 we mhongaji wa vitumbua vya ccbrt upo? Mr.Rocky said: QUOTE=The Finest;2937507]Akija hapa awe anajua kuhonga sio anaishia kuhonga chips mayai na mountain dew Click to expand... Najua kuhonga fanta na chips ngumu yaani mihogo Halafu nikihonga sana ni nauli ya daladala na asubuhi yake nampa chai ya rangi na mkate n[/QUOTE]
we mhongaji wa vitumbua vya ccbrt upo? Mr.Rocky said: QUOTE=The Finest;2937507]Akija hapa awe anajua kuhonga sio anaishia kuhonga chips mayai na mountain dew Click to expand... Najua kuhonga fanta na chips ngumu yaani mihogo Halafu nikihonga sana ni nauli ya daladala na asubuhi yake nampa chai ya rangi na mkate n[/QUOTE]
M Mr Rocky JF-Expert Member Joined Oct 10, 2007 Posts 15,178 Reaction score 14,384 Dec 6, 2011 #102 Nipo aise namtafuta wa kumhonga chips ngumu hapa na fanta na nimpe nauli ya daladala kesho asubuhi ya kurudi kwake
Nipo aise namtafuta wa kumhonga chips ngumu hapa na fanta na nimpe nauli ya daladala kesho asubuhi ya kurudi kwake
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,232 Dec 6, 2011 #103 He he he, njoo Manzese uhonge karolait moja kwa miezi sita, huduma kila unapohitaji Mr.Rocky said: Nipo aise namtafuta wa kumhonga chips ngumu hapa na fanta na nimpe nauli ya daladala kesho asubuhi ya kurudi kwake Click to expand...
He he he, njoo Manzese uhonge karolait moja kwa miezi sita, huduma kila unapohitaji Mr.Rocky said: Nipo aise namtafuta wa kumhonga chips ngumu hapa na fanta na nimpe nauli ya daladala kesho asubuhi ya kurudi kwake Click to expand...
M Mr Rocky JF-Expert Member Joined Oct 10, 2007 Posts 15,178 Reaction score 14,384 Dec 6, 2011 #104 kongosho said: He he he, njoo Manzese uhonge karolait moja kwa miezi sita, huduma kila unapohitaji Click to expand... Aise nakuja Hawa wa huku bana kila ukikutana nae lazima fanta au coke ikutoke Ahhh bora nipate huyo wa kumhonga carolait napata huduma
kongosho said: He he he, njoo Manzese uhonge karolait moja kwa miezi sita, huduma kila unapohitaji Click to expand... Aise nakuja Hawa wa huku bana kila ukikutana nae lazima fanta au coke ikutoke Ahhh bora nipate huyo wa kumhonga carolait napata huduma
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,232 Dec 6, 2011 #105 Ni PM saa moja baada ya kutoka Mbagala Mr.Rocky said: Aise nakuja Hawa wa huku bana kila ukikutana nae lazima fanta au coke ikutoke Ahhh bora nipate huyo wa kumhonga carolait napata huduma Click to expand...
Ni PM saa moja baada ya kutoka Mbagala Mr.Rocky said: Aise nakuja Hawa wa huku bana kila ukikutana nae lazima fanta au coke ikutoke Ahhh bora nipate huyo wa kumhonga carolait napata huduma Click to expand...
M Mr Rocky JF-Expert Member Joined Oct 10, 2007 Posts 15,178 Reaction score 14,384 Dec 7, 2011 #106 kongosho said: Ni PM saa moja baada ya kutoka Mbagala Click to expand... Mbona nilikudeep hukupatikana Simu yako ilikuwa inasema no unayodip haipatikani
kongosho said: Ni PM saa moja baada ya kutoka Mbagala Click to expand... Mbona nilikudeep hukupatikana Simu yako ilikuwa inasema no unayodip haipatikani
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,232 Dec 7, 2011 #107 Afu nyie watu siku hizi mnz matatizo sana. Mr.Rocky said: Mbona nilikudeep hukupatikana Simu yako ilikuwa inasema no unayodip haipatikani Click to expand...
Afu nyie watu siku hizi mnz matatizo sana. Mr.Rocky said: Mbona nilikudeep hukupatikana Simu yako ilikuwa inasema no unayodip haipatikani Click to expand...
M Mr Rocky JF-Expert Member Joined Oct 10, 2007 Posts 15,178 Reaction score 14,384 Dec 7, 2011 #108 kongosho said: Afu nyie watu siku hizi mnz matatizo sana. Click to expand... Hahhahahahahaa Ukiwa na wewe ni mtu wa siku hizi una matatizo vile vile Nikuje mitaa gani nije kuhonga
kongosho said: Afu nyie watu siku hizi mnz matatizo sana. Click to expand... Hahhahahahahaa Ukiwa na wewe ni mtu wa siku hizi una matatizo vile vile Nikuje mitaa gani nije kuhonga
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,232 Dec 7, 2011 #109 sasa hivi niko hapa Mandazi road nauza supu kweli nina hamu ya kuhongwa Mr.Rocky said: Hahhahahahahaa Ukiwa na wewe ni mtu wa siku hizi una matatizo vile vile Nikuje mitaa gani nije kuhonga Click to expand...
sasa hivi niko hapa Mandazi road nauza supu kweli nina hamu ya kuhongwa Mr.Rocky said: Hahhahahahahaa Ukiwa na wewe ni mtu wa siku hizi una matatizo vile vile Nikuje mitaa gani nije kuhonga Click to expand...