kuhonga ni.....

sio wale wa wewe hiyo simu nilikununulia, afu na saa, afu na viatu.
Mkikosana wengine wanadai tena kwa matarumbeta ya kukodi

usiombe wa namna hii, atakuja kukudai hata kama upo mkutanoni, unatoka kichwa chini aibu tele.
 
au baby nimekutafutia kitega uchumi kidogo, suprise suprise,suprise kale ka mliman city complex unakamiliki wewe.

hongo tamu ni ya kusuprise, hebu fikiria unisuprise nini, ila hati ya kiwanja kibada itanifaa
 
usiombe wa namna hii, atakuja kukudai hata kama upo mkutanoni, unatoka kichwa chini aibu tele.

hahaaaa..! so ukipata wa namna hiyo ni balaa tupu..! ila kwanini mwanamke anakubali kuhongwa ni kwamba amekubaliana na kila kitu kitakachofuatia sio..! sasa mbona wengine wanapokea hela na wakija kuombwa mafao wanakua wakali kwanini sasa alipokea hongo ya watu..?
 
aaaahhahahaaaaa...! uuuuwiiii asee umeniacha mbavu zangu zinataka ku crack...! so hongo inaongeza yale feki nini..! manake kama mpaka kuhongwa ndo yatoke..! so kuna kitu kinacho yatoa au veeep..!

be careful si kila unapohonga utapata unachotaka, unaweza ukahonga halafu watu wakaingia mitini, ohooooooo
 
wanaume tuwe wakweli kwenye uzi huu,hivi kuna mwanaume haongi?
Mi naona ni suala la ratio,anayepata mshahara wa laki moja kwa mwezi akihonga elfu kumi hiyo inakuwa ten percent ya income yake,bill gates wa tz (bishanga) akitoa kamilioni kwa dem ni 0.0000000001 percent ya income yangu,you see now?it is comparative meeeeeeeeen!!!!!!!
 
Mimi hizo sizitaki kabisa maana kila siku unasikia mara zimepanda mara zimeshuka utafikiri presha au homa, bora EURO na POUND ziko constant..

hivi umesha wahi kujiuliza kua utajisikiaje pale unapohonga demu halafu kumbe na yeye anakidume kinacho pewa hela na mapochopocho unayo mpa demu..! halafu mzee umefanya hivyo for about four years na unakuja kugundua...! daaaaah
 
weweeeee kuwa mwangalifu kuhonga si kupata utakacho. Tena ukimkuta mwanamke mstaarabu na hakutaki hongo yako hapokei. Na kama mu marafiki usimhonge halafu ukataka utamu hawapendi, huleta hisia kama unanunua service unaweza kutolewa mbio. Hongo inastep zakeza kutoa kikubwa usiwe na mkono wa birika wala moyo wa korosho ukitoa usijutie, ukitoa uxidai , ukitoa ustzke malipo
 
Wewe unahonga wapi wakati mangi pale dukani anakudai kilo moja ya unga ulioenda kukopa juzi..
 
hivi umesha wahi kujiuliza kua utajisikiaje pale unapohonga demu halafu kumbe na yeye anakidume kinacho pewa hela na mapochopocho unayo mpa demu..! halafu mzee umefanya hivyo for about four years na unakuja kugundua...! daaaaah
 
hivi umesha wahi kujiuliza kua utajisikiaje pale unapohonga demu halafu kumbe na yeye anakidume kinacho pewa hela na mapochopocho unayo mpa demu..! halafu mzee umefanya hivyo for about four years na unakuja kugundua...! daaaaah
Jibaba haujawahi kusikia...Kila mnyonge ana mnyonge wake kama ilivyo kwa Bosi na Bosi mwenzake...
 
aah uko juu..! sasa ni nini nia halisi ya kuhonga kama sio kutegemea service flani..?
 
wakati unafukuzia si lazima ulipwe ile huwa 'nahonga kwa ajili ya point na si kukamua'hii husaidia kuwashinda kompetitaz wengine

ila baada ya makubaliano unahonga kuweka munkari kwenye penzi

Jibaba haujawahi kusikia...Kila mnyonge ana mnyonge wake kama ilivyo kwa Bosi na Bosi mwenzake...

hapa sio mnyonge na mnyonge..! ni mtafunaji na mtafunwaji aseee..! hapa ni ngumi tuuu...!
 
hahhhhahhaha bishanga usiseme kuna watu wanakipaji cha kuhonga, anahonga hadi nauli yake ya kudendea job

wakati unafukuzia si lazima ulipwe ile huwa 'nahonga kwa ajili ya point na si kukamua'hii husaidia kuwashinda kompetitaz wengine

ila baada ya makubaliano unahonga kuweka munkari kwenye penzi

nimeipenda hii..! ilaaaa

hivi umesha wahi kujiuliza kua utajisikiaje pale unapohonga demu halafu kumbe na yeye anakidume kinacho pewa hela na mapochopocho unayo mpa demu..! halafu mzee umefanya hivyo for about four years na unakuja kugundua...! daaaaah
 
huwa inatokea, ajali kazini haimzuii mwanamme kuhonga

hivi umesha wahi kujiuliza kua utajisikiaje pale unapohonga demu halafu kumbe na yeye anakidume kinacho pewa hela na mapochopocho unayo mpa demu..! halafu mzee umefanya hivyo for about four years na unakuja kugundua...! daaaaah
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…