The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,080
driller mimi nataka kuhonga banaa nisipohonga sijisikii kama nimekamilika kabisa sasa hapa namuuliza Lizzy anataka nimuhonge kitu ganimmeshaanza TF na LIZZY..! ngoja nimuite referee mr. rocky aje fasta..! mimi siyawezi haya..!
kwa hiyo wanawake full vijirushwa?
Hii ndo inaonyesha uhusiano uliopo kati ya watu katika mapenzi, kujitoa zaidi ya kawaida. Na kwa ujumla linatumika tu pale wahusika wanakuwa hawana mipango ya kimaisha. Lakini kwenye penzi la kweli, kumpa mpenzi wangu ni sawa na kujipa mimi. Hii inaenda na ukweli wa matatizo yanayohitaji pesa siyo yale ya kutegeneza.ina msaada kwenye real love..?
driller mimi nataka kuhonga banaa nisipohonga sijisikii kama nimekamilika kabisa sasa hapa namuuliza Lizzy anataka nimuhonge kitu gani
Gharama zote za kuhonga hulipwa kwa kupata tundi, period.driller mimi nataka kuhonga banaa nisipohonga sijisikii kama nimekamilika kabisa sasa hapa namuuliza Lizzy anataka nimuhonge kitu gani
driller mimi nataka kuhonga banaa nisipohonga sijisikii kama nimekamilika kabisa sasa hapa namuuliza Lizzy anataka nimuhonge kitu gani
Sema mama unataka LV, Christopher Louboutin, Chanel au Marc Jacobs
mmeshaanza TF na LIZZY..! ngoja nimuite referee mr. rocky aje fasta..! mimi siyawezi haya..!
ndo maana yake, wanapokea rushwa. Hahahaha hujawahi ona mwanaume akihonga anavyopetiwapetiwa, atapewa huduma mpaka achanganyikiwe, baby, darling zitamwagwa vilivyo!
ila kuhongwa kuna raha yake bwana,haswa ukute anayejua kuhonga, mwenye nazo(maana mwanaume mwenye pesa ya mawazo atakuhesabia vitu vyote alivyokuhonga) yaani anakuhonga leo kesho anakuuliza 'baby kitu flani unakitaka?' ukimwambia yes anakuletea na fweza juu! Mashalaaaa iam missing those days!
driller mimi nataka kuhonga banaa nisipohonga sijisikii kama nimekamilika kabisa sasa hapa namuuliza Lizzy anataka nimuhonge kitu gani
na kuchunwa ni nini tena mbona unaniongezea maswali..!?
ndo maana yake, wanapokea rushwa. Hahahaha hujawahi ona mwanaume akihonga anavyopetiwapetiwa, atapewa huduma mpaka achanganyikiwe, baby, darling zitamwagwa vilivyo!
Halafu jibaba huwa ninahonga EURO na POUND tu hayo madafu sijui dollar mimi huwa huwa sina ishu hizo kabisa mambo ya shilingi imeyumba, sijui dollar imeshukaa thamani nani anayatakaHehehehe. . . unataka kunidanganya na knock off ehhh?
Hhahahaha!! Nimecheka kweli aisee...lolila kuhongwa kuna raha yake bwana,haswa ukute anayejua kuhonga, mwenye nazo(maana mwanaume mwenye pesa ya mawazo atakuhesabia vitu vyote alivyokuhonga) yaani anakuhonga leo kesho anakuuliza 'baby kitu flani unakitaka?' ukimwambia yes anakuletea na fweza juu! Mashalaaaa iam missing those days!
Hahahahaha!Embu kwanza niambie bei ya madafu ikoje leo. . .Halafu jibaba huwa ninahonga EURO na POUND tu hayo madafu sijui dollar mimi huwa huwa sina ishu hizo kabisa mambo ya shilingi imeyumba, sijui dollar imeshukaa thamani nani anayataka
Driller nikibeba kigunia cha mchele na maharage, mtetea wawili, kigunia cha nyanya na vitunguu....hapo nimehonga vya kutosha halafu ukizingatia niko maeneo ya Sudan na Somalia huku kwenye njaa kwisha kazihahahaaaa akikwambia sport 5.0 mzee utaumwa kichwa..! hivi wanao honga hua wanaulizaa..? au hua wanatoa tu kwa kutaka kuvuta ndege aje kwenye tundu bovu..?