Ndenji five
JF-Expert Member
- Nov 1, 2021
- 1,985
- 3,120
Nakumbuka enzi za hayati rais Magufuli
Alituambia kusafiri kwenda nje kuna gharimu sana pesa
Ndio maana yeye hakutaka kusafiri
Ila sasa mambo yamekuwa tofauti utawala huu
Nauliza tu mimi kama mwananchi na sina lengo baya na kama nitakuwa tofauti tusameheane
Hivi hizi safari za huyu mheshimiwa rais wa sasa gharama anatumia zipi?
Ni hizi hizi kodi zetu au kuna misaada ya wahisani
Hivi Anapo endaga nchi za wenzetu huwa anapata mialiko au?
Msije kuninukuu vibaya mm ni mwananchi nahitaji nijue utaratibu wa nchi yangu unavyoenda
Mana haiwezekani hata kidogo nikae kimya ikiwa huyu rais yupo kwajili yangu mwananchi alafu nishinde kujua
Kama ni kodi zetu mama hapana unatuumiza sana na sio haki hata kidogo ndio ulisema unaenda kututafutia na kutuletea kwa faida ya nchi
Mheshimiwa tutaishi kwa misaada hadi lini?