Aisee shughuli ya kuhamisha vitu while looking for a house ni kimbembe si cha dunia hii. Ivi business people wameshindwa kabisa kuweka km warehouses for people to rent kasehemu hapa mjini kuweka vitu kwa muda kwa mwezi mwezi kwa bei nafuu kwa sisi walala hoi Jaman kuliko kuanza kutafuta nyumba au utume mizigo mkoani au nje ya mji then upate nyumba uanze tena kuhamisha Loh