Habari wanajamiiforum
Natumia Huawei Y560 Ipo rooted, nitaweza kuhide jina la mtandao pale kwenye status bar maana linachukuwa nafasi kubwa ambayo ningeweza kuona notification icon za whatsap, facebook, sms n.k lakini huwa zinajificha mpaka ni-swipe down,
ni kama hapo kwenye picha