naomba kujua kuficha namba ya simu kwenye whatsap group ni. prpperty ya simu au whatsap application yenyewe kwenye setting.
kwenye kujua, naomba msaada wako.
asante sana
wala sina nia mbaya mkuu, si unajua unaweza ongezwa kwenye group bila idhini yako the number yako inakuwa exposed kwenye group zima, sipendi hicho tu.
asante