Hivyo ni vipimo vya muda lakini havipo katika SI units (vipimo vya SI).
SI units ni vipimo sanifu vya kimataifa ambavyo vilikubaliwa kimataifa katika mkutano uliofanyika huko Ufaransa kupanga vizio vya upimaji wa pamoja duniani.
SI ni kifupi cha maneno ya kifaransa; Systeme international d'unites, kwa kiingereza ndiyo; International system of units.
Vipomo vyenyewe ni hivi hapa;
Mass----kilogram (kg)
Urefu----- mita (m)
Muda----sekunde (s)
Mkondo wa umeme---- Ampere (A)
Jotoridi---- kelvin (K)
Ukali wa mwanga----candela (cd)
Nk.