Kuharibiwa kwa mifumo ya ulinzi wa anga

Kuharibiwa kwa mifumo ya ulinzi wa anga

Al assad

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2017
Posts
1,404
Reaction score
1,517
Wakuu nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana mgogoro huu wa sasa unaoendelea kati ya Armenia na Azbaijan (Nagono-Kalabah).Sasa kuna jambo linanishangaza na kuhusu kuharibiwa kwa mifumo ya ulinzi wa anga kama Osas,Kub, na S-300 na kuharibiwa kwao kumefanywa kwa kutumia ndege vita za kizamani kidogo na ambazo siyo stealth kama Mig-25,24 na Su-25, 27 na nyinginezo zikiwemo drone ambazo siyo stealth pia kama Harlop na TB2. Sasa inakuwaje hii mifumo inaharibiwa na ndege dhaifu hivi tena ambazo siyo stealth ,wjuzi wa mambo naomba muje mutoe ufafanuzi!

# Kuharibiwa kwa S-300 kumenishitua sana.

destroyed1 BM-27 Uragansdestroyed2 S-300sdestroyed10 self-propelled artillery units destroyed24 artillery batteries destroyed136 cannons destroyed56 mortars destroyed25 9K33 Osasdestroyed2 2K12 Kubsdestroyed1 TOS-1 Adestroyed1 Kolchugadestroyed18

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom