security JF-Expert Member Joined Oct 16, 2011 Posts 322 Reaction score 75 Feb 21, 2014 #1 Wakuu nataka kuhamisha contacts kutoka BB kwenda kwenye sim card. Nimehangaika sana sasa nimekuja mbele zenu mnisaidie. Kuna majina mengi. Nataka kutumia aina nyingine ya Simu.
Wakuu nataka kuhamisha contacts kutoka BB kwenda kwenye sim card. Nimehangaika sana sasa nimekuja mbele zenu mnisaidie. Kuna majina mengi. Nataka kutumia aina nyingine ya Simu.
Msingida JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 10,686 Reaction score 12,451 Feb 22, 2014 #2 Ngoja wenye maujuzi waje,mi na tatizo kama lako