Kuhamisha app kwenda memory card

Kuhamisha app kwenda memory card

Kabelwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
678
Reaction score
196
Wadau ninaomba kuuliza nikiroot Simu yangy je!ninaweza kuhamisha app ambazo kabla ya hapo zilikua hazihamishiki kwenda kwenye memory card na je! hakuna madhara yoyote!
 
Sawa sasa hakuna madhara yoyote
 
Back
Top Bottom