Kuhamisha ajira

Kuhamisha ajira

JOSEDIZOZ

Senior Member
Joined
Dec 29, 2012
Posts
134
Reaction score
30
Nimeajiriwa kwa diploma serikalini kama mwalimu.nimemaliza degree ya kwanza ya elimu.nikipata ajira mpya napaswa kufanya nn ili niende ajira mpya ila nisianze upya utumishi?
 
Mkuu, suala lako ingekua vizuri kama ungepata maelezo kutoko Ajira au Utumishi.
 
hujaeleweka mkuu,
je unaanza ajira mpya kwa mwajiri yuleyule wa mwanzo mfano?
je hiyo ajira ni katika kada hiyo hiyo ya elimu?
ulienda kusoma je bado uko kwenye mfumo wa ajira au ulitoroka kwa mwajiri?

kama unatafuta ajira mpya kwingineko tofauti na mwajili wako wa mwanzo lazima maombi yako ya ajira yapitie kwa mwajiri wa mwanzo ili Utumishi wakutambue kama tayari wewe ni mwajiriwa. lakini ukiomba kimia kimia utaishia kunawa...kamwe kula hutakula
 
nenda kaonane na afisa utumishi wa ofisi ulioajiriwa kuna utaratibu mzuri tu wa kupandisha vyeo watumishi walioupgrade kwenye same field walioajiriwa, utabadilishiwa mshahara na cheo
 
Wanakufanyia Re-categorization, then unaendelea na kibarua chako kipya. Kwa maelekezo zaidi muone Afisa Utumishi wa eneo lako la kazi atakupa mwongozo mzuri zaidi.Kila la kheri Mkuu
 
kama ajira mpya ina mazingira bora zaidi bora ukapige new apoint. Kama umekatwa pensheni zaid ya miaka 5 utakuwa umepoteza kama mil 10 kwenye pensheni ya uzeeni bcoz utapewa check no.
 
Muone afisa utumisha wako atakueleza kila kitu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom