Mimi ni mwalimu wa sekondari ajira mpya mwaka huu 2015, lakini kabla ya ajira hii nilikuwa nimefanya maombi mbalilimbali ya kazi ya kufundisha vyuo vikuu (tutorial assistant).
Sasa imetokea mungu kanisaidia nimepata kazi chuoni mwezi huu, sasa nilikua nimeandika barua kwa Katibu mkuu utumishi ili kuomba kubadilisha ajira lakini cha ajabu afisa elimu wangu ananikatalia kunipitishia barua yangu eti kisa mimi ni mwalimu wa sayansi, nilimepaniki maisha kwakweli (inamaana kisa ni mwalimu ni mwalimu wa sayansi ndio nikose uhuru wa kuchagua kazi nayona ina masilai kwangu).
Naombeni msaada kama sina haki au ninayo haki katika hilo.

Last edited by a moderator: