Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Kwa wale waliokulia hapa Dar si ajabu watakua wanalifahamu hili swala la kuhama Wilaya yako uliyokulia na kuhamia nyingine!
Hili ni swala gumu sana kwa wakazi wengi wa Dar sijui ni kwa nini, kwa mfano mtu aliyekulia Kinondoni umwambie ahamie Temeke au Ilala ni ngumu sana na vivyo hivyo watu wa Temeke ukimwambia ahamie Kiondoni haimuingii akilini kabisa!
Wengi unakuta akimaliza kusoma na kupata kazi kama anatokea W. Kinondoni basi hata kama amepata kazi Temeke hawezi kwenda kuishi huko na wa Ilala au Temeke hivyo hivyo, hivi ni kwa nini?