Kuhama vyama tumeiga toka marekani

General Mangi

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
15,303
23,055
Wakuu habari.

Kama inavyojulikana Taifa la Marekani kama baba wa demokrasia duniani. Nimefuatilia kwa undani Mgombea wa chama cha republican ambaye anaongoza kuwa na wajumbe wengi kuwania tiketi ya kuwa mgombea wa urais kupitia chama chake Republican Bwana Donald Trump.

Donald trump ameanza siasa tangu mwaka 1987 kipindi akiwa mwana chama wa republican. Lakini baadae trump hakuridhishwa na chama hicho akahamia Independent, baadaee akahamia Democrat, akarudi tena Republican akajiondoa tena na kuwa sio mwanachama wa chama chochote na baadae akarudi chama chake Republican ambapo yupo mpaka sasa.

Kwahiyo kuhama kwa vyama isionekane ipo tanzania tu hata mbele.

Source.An Update On Donald Trump's Bizarre (And Very Fluid) Voter Registration History
 
Back
Top Bottom