Kuhama programmes chuoni

Kuhama programmes chuoni

Kirchhoff's

Member
Joined
Jun 1, 2015
Posts
19
Reaction score
0
habarini wakuu! hv mtu unaweza kuhama program ukiwa chuoni hasa za engineering na kama inawezekana vp kuhusu mkopo au boom USHAURI UTAFANYIWA KAZI
 
inawezekana kabisa cha msingi chuo chako wakubali uhamisho wako kwa maana uwe umekidhi vigezo vya course unayotaka kwenda kuisoma

Kuhusu mkopo cha msingi utoke kwe course yenye mkopo na uende kwe course yenye mkopo bro vinginevyo ukienda course isio na mkopo unaweza futiwa mkopo hata kama ulikuwa ushapata
 
inawezekana xaana ila jiandae na usumbuf ufuatao
1.usumbuf toka bod ya mikopo,manaake taarfa zako inatakiw ztumwe bodi ya mikopo,hvyo huchelew xana kujibiwa
2.Kuanza masomo katka koz unayohamia ktkt ya semister kama majb ya kubadl yatachelew
3.ktambulsh chak ktabak kmeandkw coz ulyochaguliwa awal!
na mengne madogo madogo..mwny uelewa waongeze
 
ahsant kaka nimekupata
 
ahsant kaka
 
Back
Top Bottom