tamuuuuu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 22,757 Reaction score 31,120 Mar 2, 2017 #1 Wakuu nauliza namna ya kuhama mtandao kama ilivyotangazwa. Je unahama vipi? Ni nani aliyehama akafanikiwa? Na je MB za mtandao uliohamia ndo utakazotimia kama umebadili Na umeunga MB hizo? Ufafanuzi tafadhari.
Wakuu nauliza namna ya kuhama mtandao kama ilivyotangazwa. Je unahama vipi? Ni nani aliyehama akafanikiwa? Na je MB za mtandao uliohamia ndo utakazotimia kama umebadili Na umeunga MB hizo? Ufafanuzi tafadhari.