Decisive
Member
- Aug 3, 2023
- 63
- 117
Naomba ushauri kwa watu wenye ujuzi wa hili.
Ukiwa umeajiriwa taasisi 'x' kwenye kada ambayo ina uhusiano mdogo na kile ulichosomea na ukaona kuna nafasi taasisi y ambayo ndio ina uhusiano wa 100% na kile ulichosomea, unaweza kuomba kuhamia hiyo taasisi 'y'?
Je, inachukua muda gani kuomba kuhama baada ya kuajiriwa? Je, mshahara utaendelea ule wa taasisi mpya?
Natanguliza shukrani.