Jumakidogo
R I P
- Jul 16, 2009
- 1,851
- 427
Kwa wanafahamu, inachukua muda gani kwa mteja wa benki ya posta kukopa baada ya kufungua akaunti? Au unaweza kufungua leo na kesho ukaanza mchakato?
niko bush, nasikia tu kuna mikopo ya wafanyabiashara wadogo inatolewa na benki hiyo. Poa ntasafiri kwenda kuwacheki.Ingekuwa vizuri kama utawatmbelea watakupa maelezo mazuri, maana inategemeana umekuwa Mteja wao kwa muda gani.
niko bush, nasikia tu kuna mikopo ya wafanyabiashara wadogo inatolewa na benki hiyo. Poa ntasafiri kwenda kuwacheki.