S Sasunimg Member Joined Aug 3, 2016 Posts 58 Reaction score 34 Mar 8, 2017 #1 Sina uhakika .Lakini kama ni kweli hadi inafikia hatua RC anagushi cheti,kama nikweli tumefikia pabaya saaana ndugu zangu inauma sana
Sina uhakika .Lakini kama ni kweli hadi inafikia hatua RC anagushi cheti,kama nikweli tumefikia pabaya saaana ndugu zangu inauma sana
K kiogwe JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 3,763 Reaction score 4,945 Mar 8, 2017 #2 Ngoja waje buku 7 fc shauri yako.maana wao wanaona sawa Daud Bashite kufeki vyeti
kweleakwelea JF-Expert Member Joined Nov 29, 2010 Posts 3,075 Reaction score 1,549 Mar 8, 2017 #3 expedition said: Inatosha sasa. Makonda ebu toa vyeti watu waendelee na ujenzi wa viwanda. Click to expand... hivi kweli..kila kitu kimesimama kupisha hili eti??
expedition said: Inatosha sasa. Makonda ebu toa vyeti watu waendelee na ujenzi wa viwanda. Click to expand... hivi kweli..kila kitu kimesimama kupisha hili eti??
Wa Nyumbani JF-Expert Member Joined Mar 31, 2011 Posts 438 Reaction score 67 Mar 8, 2017 #4 Hilo sio swali sasa. Kugushi INA zaidi ya mwezi na wala haijakanushwa zaidi ya kupindisha majibu. Akiulizwa unakula nini anajibu mnanionea wivu kucheza basketball
Hilo sio swali sasa. Kugushi INA zaidi ya mwezi na wala haijakanushwa zaidi ya kupindisha majibu. Akiulizwa unakula nini anajibu mnanionea wivu kucheza basketball