Kugongewa mke inauma sana

Baada ya kukwambia hivyo umechukua hatua gani?

Kama shida ni tamaa za kimwili, it means ww huwezi kuzitatua, ndio maana kaenda nje. Swali ni je, anavyoomba msamaha, lengo ni usimuache, anamaanisha kuanzia sasa utaweza kuzitatua?

Siwezi kukushauri Nini cha kufanya,uhamuzi ni wako. Ila kwa upande wangu, pakiwa na weakness iliyopelekea cheating ambayo naweza kuirekebisha, basi huwa narekebisha then maisha yanaendelea. Ila kama chanzo cha kucheat siwezi kukirekebisha, basi huwa tunapeana mkono wa kwaheri. Maana soon or later yatajirudia yale Yale, maana tatizo halikuwa solved.
 
Mi nakwambia jinsi ambavyo mtu anampenda mkewe lazma atafanya hilo kijasusi mno.

Kukamatwa ni ajali kazini tu ila ukifanya ujasusi wa kutosha ni asilimia chache mno za kufumwa.

Huyo mke mi nashauri nae aweze tu kujipongeza na kablaza kaka. Maana maumivu yakizidi kumuona daktari ni swala mtambuka.
 
Yupi huyo hahahhahahahahahhahahahhshahshahahahshhshahsahaha ?
Yule uliyekuwa unamwita muthafaka?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hell yeah that little itty bitty short azz muthafucka mane!!! Hivi yupo bado au ulishamkick to the curbs 😀
 
Ok, sawa, sisi wanaume ni wazinzi sana, sawa..!! LAKINI JE, TUNAZINI NA AKINA NANI?
 
Once a Cheater always a cheater
 
Comment yako iwekewe lamination tuisome kwenye kikao chetu WANAUME sio wavulana,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…