Kugongewa mke inauma sana

Acha kulia lia wewe. Unataka kuolewa au?
 
Tunajali sana na ndio maana tunachepuka kwa siri sana. Ni wazembe wachache sana ambao huona sifa kuchepuka hadharani.
Mngekuwa mnachepuka kwa siri sana tusingejua. Nyie mna siri gani mnachepuka wazi wazi yaani waaazi.

Ila nyie wanaume ni wazinzi sana sijui mna shida gani. Yaani nyie msione mwanamke tu nyege zimewashika. Msisafiri hata mlale lodge wenyewe mkiona kitanda nyege zinawakamata.

Hivi mna nini nyie.?
 
Dah..pole mkuu.. ila mwache, wako wengi sana. Atakuua
 
Tunajali sana na ndio maana tunachepuka kwa siri sana. Ni wazembe wachache sana ambao huona sifa kuchepuka hadharani.
Thubutuuu, mnachepuka Hadi tunajua.....mfano Kuna mtu namjua alimfuma mume anachepuka, wakayaongea yakaisha, kumbe mume anaendelea na yule mchepuko....imepita miaka mitatu anagundua mume bado yupo na yule mchepuko.....bibie kuondoka hawezi anadai watoto watateseka......Sasa hapo akichagua mmoja kati ya wanaomtongoza akaamua kumsusia yote apoze machungu, atalaumiwa?😂
 
Yani acha tu maana mie hata picha yako kila nikiiona napata hisia flani flani amazing sana. Ni kitu kipo automatic tu nadhani, hebu nifanyie wepesi basi nikuwe soja boy wako manzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…