Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,584
- 17,528
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kuwa kuanzia sasa umri wa kugombea ndani ya Umoja wa Vijana CCM (UVCCM) kwa chaguzi zijazo utakuwa mwisho ni miaka 35 badala ya 30.
Kauli hiyo imetolewa leo November 27, 2022 na Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo wakati akizungumza kwenye Mkutano Mkuu wa 10 wa UVCCM jijini Dodoma.
Chongolo amesema kuwa Chama kimechukua maamuzi hayo lengo ikiwa ni kurejesha nafasi ya kuwakuza Vijana mpaka miaka 40 ndani ya UVCCM.
Nini maoni yako??