Kugombea ubunge jimbo la Handeni 2015

Kugombea ubunge jimbo la Handeni 2015

mwigwa

New Member
Joined
Jul 30, 2013
Posts
2
Reaction score
0
Mimi AHMAD ALLY MTENGUZI KIDYAMAKUO natarajia kugombea UBUNGE jimbo la HANDEN 2015 kwa wale wenye uchungu na wilaya yetu ninawaomba mnipe nguvu kwasababu uwezo ninao,nguvu ninayo, sifa ninayo na elimu ninayo hivyo ufadhili mkubwa unahitajika kutoka kwenu.
 
Naunga mkono kwa uamuzi uliochukua ila gombea kupitia chama cha demokrasia na maendeleo maana ndo chama tumaini pekee la wananchi.
 
Kigodaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa?utamuweza?
 
Mimi AHMAD ALLY MTENGUZI KIDYAMAKUO natarajia kugombea UBUNGE jimbo la HANDEN 2015 kwa wale wenye uchungu na wilaya yetu ninawaomba mnipe nguvu kwasababu uwezo ninao,nguvu ninayo, sifa ninayo na elimu ninayo hivyo ufadhili mkubwa unahitajika kutoka kwenu.

Hebu tupe profile yako japo kwa ufup 2, then Matatzo gan yanawakabil wakaz wa Handen na had ss bado hayajapata ufumbuz ? Au Mapungufu yap umeyaona kwa huyo Mtangulz wako had ww kushawshka kua Mgombea wa hli jmbo le2 bwana Zumbe?
 
Kagoma kutaja chama.....

Atakuwa kaenda haja ndogo....
 
Mimi AHMAD ALLY MTENGUZI KIDYAMAKUO natarajia kugombea UBUNGE jimbo la HANDEN 2015 kwa wale wenye uchungu na wilaya yetu ninawaomba mnipe nguvu kwasababu uwezo ninao,nguvu ninayo, sifa ninayo na elimu ninayo hivyo ufadhili mkubwa unahitajika kutoka kwenu.
Kupitia chama gani?
 
Cdm hatuna hofu ya kutangaza nia na chama chetu,ukiona mtu anatangaza nia na anakuwa na woga wa kutaja chama ujue chama chake ni kichafu hivyo anashindwa kujua mapokezi wa uwamuzi wake (GAMBA)
 
magamba mbona ni waoga sana kunadi chama chenu?
 
gamba linataka lijaribu kukobokea Handeni -- kuweni makini wana jimbo.
 
Handeni wana shida sana ya maji safi na salama na ni wilaya masikini ktk mkoa wa Tanga. Chadema pelekeni sana nguvu Kilindi na Handeni CCM wanajichukulia tu kura kutokana na hamjaweka nguvu kule.
 
mimi ahmad ally mtenguzi kidyamakuo natarajia kugombea ubunge jimbo la handen 2015 kwa wale wenye uchungu na wilaya yetu ninawaomba mnipe nguvu kwasababu uwezo ninao,nguvu ninayo, sifa ninayo na elimu ninayo hivyo ufadhili mkubwa unahitajika kutoka kwenu.
kama ww ni chadema tutaomba tupigiwe kura za maoni lakini kama ww ni gamba tutapambana,sitakuachia mimi nitagombea kwa tiketi ya chama makini cdm;naitwa mhando gabriel mbwana nipo mlimani namalizia phd
 
Back
Top Bottom