Asante kwa thread miss smile.
INATEGEMEANA NA MAZINGIRA.
1.kama huyo mwanamke hajui kuwa mmeo ana mke,ni sawa kwenda kumwambia ili asiendelee,mana hata hao wengine hudanganywa na pengine kuahidiwa kuolewa,na kama wakijua basi hawawezi kuendelea na mapenzi hayo.PIA HAIONDOI UKWELI KUWA MMEO PIA ANA MAKOSA(vice versa is true)
2.kama huyo mwanamke anajua fika kuwa mmeo ana mke na wewe anakujua,hiyo ni zaidi ya dharau na kuanzisha fujo inaweza kusaidia na wakaacha kuliko kukaa kimya,hata sanamu huwa linasaidia kuwafukuza kweleakwelea ili wasile mtama ama mpunga shambani.
3.NI SAHIHI KUWASHAMBULIA WOTE mana wote wanamakosa ya KUZINI.
Nb:ni bora zaidi kumbadilisha mmeo ili aheshimu ndoa yako na asikusaliti na huu ndio ulinzi bora zaidi kuliko njia zote mana hauwezi kuwafahamu wote anaozini nao.