bategereza
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 3,314
- 1,072
Tulishasikia wafanyakazi mbali mbali wakigoma au hata wanafunzi. Lakini sasa hii ya wafanyabiashara sijawahi kuisikia tangu utotoni. Tatizo ni serkali au Wanunuzi. Nia ya muuzaji siku zote ni kuuza apate faida leo kulikoni hawataki faida ?