Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 400
- 884
Tofauti provinces na Mikoa Kwa maana ya regions.View attachment 2713287View attachment 2713289
Hii Tabia ya kugawa gawa Mikoa inakera sana; nilisamehe Arusha wavoigawa kupata Manyara but now Mwanza wameigawa kupata Geita, Mbeya wameigawa kupata Songwe, Iringa wameigawa kupata Njombe, Rukwa wameigawa, Dar wameigawa kupata wilaya zingine ukiangalia Dar yenyewe ndogo. Na kuna kila dalili Morogoro pia kugawanywa na mikoa yote. Lengo ni kupata Rushwa na kutengeneza ofisi nyingi na mishahara mingine hence rushwa. Mfano check ramani nizoweka hapo juu; China ni sq Km million 9.5 na Tanzania now sq Km laki 945,000 which means China ni Mara kumi ya TZ ila ina provinces 22, TZ 31 Sasa na zitafika 100; even U.S. ina 50, Russia 85, India 29, Brazil 26 na zote ni kubwa sana than TZ. Ila TZ kila kukicha kugawa coz wanataka more offices kupata rushwa and funding tu. Wanakera sana. Rudisheni Mwanza, Mbeya, Rukwa, Iringa zetu
That's why nasema km wao jimbo moja can be so big then cc hatuna reason ya kugawa gawa hii mikoa we can strengthen local governments tuSasa hayo majimbo kwa 1 kwa wenzetu si kama nchi yetu tu kiutendaji na uongozi. Umekurupuka kafanye uchunguzi tena na tena
Mfumo wao una gharama kubwa za Utawala kuliko mfumo WetuThat's why nasema km wao jimbo moja can be so big then cc hatuna reason ya kugawa gawa hii mikoa we can strengthen local governments tu
Itagawanywa tuu,swala la kuwa engineered na nani sio hoja Bali ilistahiki kugawanywaMkuu Nchi ni yetu na Viongozi na Maafisa ni watoto wetu. Rudi kwenye Ramani uuuangalie Mkoa wa Morogoro! Mkoa unaanzia hapo Mitaa ya Bwawani halafu unaelekea hadi kukutana na Mkoa wa Ruvuma.
Tatizo ni kwamba hii Mikoa tunaigawa kwa mlengo wa Ubinafsi na kutafuta popularity ya Kisiasa.
Mkoa wa Manyara ulikuwa Engineered na LOWASA & SUMAYE.
Mkoa wa Katavi Engineering ya PINDA.
Mkoa wa SONGWE MWANDOSYA.
Mkoa wa Geita na SIMIYU Sukuma Gang.
Mkoa wa NJOMBE engineered by Southern Corridor Monsters.
Mikoa ya TABORA na Morogoro iliyostahili kugawanywa ikakosa God fathers. All in all Mikoa inaongeza Wage bill kwa walipa kodi na mzigo kwa Taifa.
Huenda Dar wataigawa kuwa na Ubungo na Kinondoni ambapo Dar itabaki na wilaya ya Ilala, Temeke na Kigamboni, safi sana.View attachment 2713287View attachment 2713289
Hii Tabia ya kugawa gawa Mikoa inakera sana; nilisamehe Arusha wavoigawa kupata Manyara but now Mwanza wameigawa kupata Geita, Mbeya wameigawa kupata Songwe, Iringa wameigawa kupata Njombe, Rukwa wameigawa, Dar wameigawa kupata wilaya zingine ukiangalia Dar yenyewe ndogo.
Na kuna kila dalili Morogoro pia kugawanywa na mikoa yote. Lengo ni kupata Rushwa na kutengeneza ofisi nyingi na mishahara mingine hence rushwa.
Mfano check ramani nizoweka hapo juu; China ni sq Km million 9.5 na Tanzania now sq Km laki 945,000 which means China ni Mara kumi ya TZ ila ina provinces 22, TZ 31 Sasa na zitafika 100; even U.S. ina 50, Russia 85, India 29, Brazil 26 na zote ni kubwa sana than TZ.
Ila TZ kila kukicha kugawa coz wanataka more offices kupata rushwa and funding tu. Wanakera sana. Rudisheni Mwanza, Mbeya, Rukwa, Iringa zetu
Umekurupuka sana!. China ina Outonomous( nchi Huru za ndani) hizo 22, kwahiyo kila Outonomous moja inagawa Wilaya na mikoa kivyake, kama Tanzania,lakini hizo nchi 22 za ndani hazibadiliki. Brazil, US, Canada, n.k, nazo zinagawa maeneo kulingana na mabadiliko ya Tekinolojia, idadi ya watu, na maendeleo lakini states/ Provincial mama zinabaki kama zilivyo. Mikoa Huru ya China ni Tibet, Uigur, Guanzou, Macau, Shanghai, Inner Mongolia, Guizou, Hong Kong, Beijing, n.k hizi hazibadiliki maana ni kama nchi kimipaka, na zina sheria na kanuni haziingiriani, na mabunge yao kila huo Mkoa, lakini zenyewe zinakata miji ya kujitawala. Tofauti ya Tanzania ni kwamba ni nchi moja, mikoa yake inategemea serikali kuu moja kwahiyo mikoa haina nguvu inaweza kuongezwa au kupunguzwa na Mheshimiwa Rais aonavyo yafaa.View attachment 2713287View attachment 2713289
Hii Tabia ya kugawa gawa Mikoa inakera sana; nilisamehe Arusha wavoigawa kupata Manyara but now Mwanza wameigawa kupata Geita, Mbeya wameigawa kupata Songwe, Iringa wameigawa kupata Njombe, Rukwa wameigawa, Dar wameigawa kupata wilaya zingine ukiangalia Dar yenyewe ndogo.
Na kuna kila dalili Morogoro pia kugawanywa na mikoa yote. Lengo ni kupata Rushwa na kutengeneza ofisi nyingi na mishahara mingine hence rushwa.
Mfano check ramani nizoweka hapo juu; China ni sq Km million 9.5 na Tanzania now sq Km laki 945,000 which means China ni Mara kumi ya TZ ila ina provinces 22, TZ 31 Sasa na zitafika 100; even U.S. ina 50, Russia 85, India 29, Brazil 26 na zote ni kubwa sana than TZ.
Ila TZ kila kukicha kugawa coz wanataka more offices kupata rushwa and funding tu. Wanakera sana. Rudisheni Mwanza, Mbeya, Rukwa, Iringa zetu
Sasa uoni kwetu ni mzigo kwa wananchi.Uku kwetu haya mambo yanafanyika kisiasa zaidi ndo maana mzigo unarudi kwa mwananchi wakati huo zile huduma zilizosemwa zinasogezwa karibu na wananchi hazipatikani.Umekurupuka sana!. China ina Outonomous( nchi Huru za ndani) hizo 22, kwahiyo kila Outonomous moja inagawa Wilaya na mikoa kivyake, kama Tanzania,lakini hizo nchi 22 za ndani hazibadiliki. Brazil, US, Canada, n.k, nazo zinagawa maeneo kulingana na mabadiliko ya Tekinolojia, idadi ya watu, na maendeleo lakini states/ Provincial mama zinabaki kama zilivyo. Mikoa Huru ya China ni Tibet, Uigur, Guanzou, Macau, Shanghai, Inner Mongolia, Guizou, Hong Kong, Beijing, n.k hizi hazibadiliki maana ni kama nchi kimipaka, na zina sheria na kanuni haziingiriani, na mabunge yao kila huo Mkoa, lakini zenyewe zinakata miji ya kujitawala. Tofauti ya Tanzania ni kwamba ni nchi moja, mikoa yake inategemea serikali kuu moja kwahiyo mikoa haina nguvu inaweza kuongezwa au kupunguzwa na Mheshimiwa Rais aonavyo yafaa.
Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
Ukiwa Tanzania kila kitu ni taabu, wanagawa ata vimkoa vidogo, na hivyo vidogo umasikini upo palepale.Sasa uoni kwetu ni mzigo kwa wananchi.Uku kwetu haya mambo yanafanyika kisiasa zaidi ndo maana mzigo unarudi kwa mwananchi wakati huo zile huduma zilizosemwa zinasogezwa karibu na wananchi hazipatikani.
Hujaelewa, pointi yake, ccm wanagawa nchi kisiasa tu,Sasa hayo majimbo kwa 1 kwa wenzetu si kama nchi yetu tu kiutendaji na uongozi. Umekurupuka kafanye uchunguzi tena na tena