PreGE2025 Kugawa baiskeli siyo rushwa ya uchaguzi?

PreGE2025 Kugawa baiskeli siyo rushwa ya uchaguzi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
10,995
Reaction score
13,509
Hivi karibuni, rais Samia alitoa baiskeli kibao.
Je hii siyo rushwa?
Je hii pesa ndiyo inafanya tukope sana?
Je rais kaipata wapi tena kihalali pesa hii?
Je ananunua nini zaidi ya kura?
Je hapa kutakuwa na haki?
Je anatufundisha nini?
Je anaogopa nini hadi ahonge?
 
Pikipiki
Baiskeli
Huku kama sio kuchanganyikiwa ni nini?
 
😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳 ushindwe na kuregea na mitano tena ya mateso na wizi nyambaff kubwa veve
 
swali lako kulijibu linahitaji mwanasheria...😅
 
Hivi karibuni, rais Samia alitoa baiskeli kibao.
Je hii siyo rushwa?
Je hii pesa ndiyo inafanya tukope sana?
Je rais kaipata wapi tena kihalali pesa hii?
Je ananunua nini zaidi ya kura?
Je hapa kutakuwa na haki?
Je anatufundisha nini?
Je anaogopa nini hadi ahonge?
Kwani nani kakwambia ukipewa baiskeli lazima umchague Samia!?
 
Hivi karibuni, rais Samia alitoa baiskeli kibao.
Je hii siyo rushwa?
Je hii pesa ndiyo inafanya tukope sana?
Je rais kaipata wapi tena kihalali pesa hii?
Je ananunua nini zaidi ya kura?
Je hapa kutakuwa na haki?
Je anatufundisha nini?
Je anaogopa nini hadi ahonge?
Kinachoendelea kwa sasa nchini ni rushwa ya wazi... Kuanzia uzinduzi wa miradi, mabaiskeli, mapikipiki... Ni uvunjifu mkubwa wa Sheria ya uchaguzi!
 
Back
Top Bottom