KUFUZU KOMBE LA DUNIA 2018, Novemba 17 2015: Algeria vs Tanzania

Ukabaki aisee ni janja sana kwetu,hawa jamaa tuliwafunga kwakuwa tu walikuwa wanadefend

Naomba tusijifariji,Algeria kwa wachezaji pungufu hatuna ujanja wa kurejesha.Na wabongo pumzi imekata kabisaa.
Mbele samata mipira hakuna hasaa,hata kama ni Ngasa basi wapeleka mipira hakuna.
 
Ukabaji na marking hovyooooooooooooooo
 
nashuhudia soka safi toks Algeria...shikamoo Yasini Ibrahimi....nakupa kura yangu BBC Player of the year
 
Duuh huyu muigizaji bongo movie nae mchambuzi ZBC mnataka tuwafunge algeria watu wa mpira hawapo ?
 
Kamati ya Ufundi wangepewa NEKI. Hadi sasa hivi matokeo yangekuwa vice vesa.
 
Ila tukubale tukatae na majina yanabeba sasa hawa jamaa wanaitwa mbwea wa jangwani si mchezo lazima maoni ya rais wetu malinzi tuyatilie maanani
 
kushindikana kupatikana kwa mabadiliko October 25 was already a bad omen for anything else good that this country would strive to achieve.

tusubiri beyond 2020....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom