Kufutwa matokeo mtihani darasa la 7 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kufutwa matokeo mtihani darasa la 7

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mpigaji, Jan 4, 2012.

 1. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #1
  Jan 4, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wizara ya Elimu na Mafunzo ilitangaza kufuta matokeo ya Wanafunzi wapatao elfu 9 waliofanya Mtihani wa Kuhitimu Elimu ya Msingi mwaka 2011 kwa sababu za udanganyifu.Je,Wizara ilifanya uamuzi sahihi kuwafutia matokeo watoto hawa?Kwa kawaida kila kituo cha Mtihani kinakuwa na wasimamizi, Je kwa nini mpaka sasa wasimamizi husika hawajaadhibiwa kwa kosa la makusudi walilofanya?
   
 2. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #2
  Jan 4, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  si wale watoto hawajui sheria?. waliwafutia ili kufurahisha jukwaa. mbona watu wanawasili mashuleni kuanza form one hajui kusoma na kuandika? uzushi tu. Mia
   
Loading...