Wewe umekwenda JKT/ Uliliwa kwa kupenda au ulilazimishwa? Mie nimepita huko sikuona aliyeliwa kwa kulazimishwa ila kama utajirahisisha watu lazima wagonge mzigo! kama ilivyo popote pale
Siku jkt ikifutwa ntafanya sherehe kubwa,mtoto unamlea kwa shida unamkinga kila aina ya uovu,hlf anaenda kubakwa na kruta,tena aliyefel, yaan mwanangu aanze maisha ya mahusiano kwa kubakwa tena mtu asiyenafuture naye.